Home Gospel Gospel AUDIO | Lusekelo Mwalyeje Ft Lucy Mwalyeje – PENDA PENDA ACHA...

Gospel AUDIO | Lusekelo Mwalyeje Ft Lucy Mwalyeje – PENDA PENDA ACHA DHAMBI

Kwa Mara ya kwanza kwa mwaka 2020 kutoka inchini Tanzania, leo tunakutambulishia kwako mtumishi wa MUNGU aliyefanyika baraka kwa wengi kupitia huduma zake za uchungaji, uinjilisti na uimbaji wa nyimbo za injili, LUSEKELO MWALYAJE. Leo hii ametupa zawadi ya wimbo uitwao PENDA PENDA ACHA DHAMBI ambapo kamshirikisha mkewe LUCY MWALYAJE..
Kwa mawasiliano na mialiko ya kihuduma wasikiana na LUEKELO MWALYAJE KWA SIMU & WHAT’S UP NO.+255753728668

DOWNLOAD ?

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here